Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

Afanyeje sasa maana hana hata goli 7 na wenge limempanda kichwani baada ya kuona mwezi..

Msamehe tu
 
Wewe kama shabiki una machango gani kwenye timu?
 
Bora huyu kavua kwenye ligi kuu, sasa fei toto wenu alivua jezi kwa kufunga goli mapinduzi cup tena timu ya mtaani ya Zanzibar.
 
TFF waandae kombe la mshindi wa pili ili wapatiwe hawa makolo kwa hizi jitihada wanazozionesha
Kombe la nani zaidi mbona hatulioni
Tff wametudhulumu sisi simba hawajui ni next level?
 
Henock Goooooooooooooaaal gooal

Henock anaipatia Simba SC bao la tatu | SIMBA SC 3-1 KMC FC
Enonga anafunga goli mbili kwa miezi miwili halafu huyo ni beki

Kambale ye ni mshanbuliaji lakini alitumia miaka miwili kuzitafuta
 
Enonga anafunga goli mbili kwa miezi miwili halafu huyo ni beki

Kambale ye ni mshanbuliaji lakini alitumia miaka miwili kuzitafuta
Mwendo mrefu wa chizi na unarudi na makopo,hivyo ndivyo huyo inonga anavyofanya hana tofauti na chizi
 
Enonga anafunga goli mbili kwa miezi miwili halafu huyo ni beki

Kambale ye ni mshanbuliaji lakini alitumia miaka miwili kuzitafuta
Tukumbuke hata kinara wa Assist Djuma Shabani ana assist nyingi kuliko kiungo mchezeshaji Larry Bwalya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…