Ligi Kuu Bara: Simba SC vs Mwadui FC

Umedesa kwa Saleh Jembe blog.
Kakosea.
Azam INA 60 sasa hivi na sio 70. Na mikia wana 58, sio 68.

Nimedesa vipi na picha imewekwa kabisa hapo na ina watermark ya Saleh Jembe au una mimacho mibovu
 
Nimedesa vipi na picha imewekwa kabisa hapo na ina watermark ya Saleh Jembe au una mimacho mibovu
Vyovyote vile utavyofikiri. Nina mimacho mibovu au sina macho kabisa poa tu. Lengo ilikuwa ni kuonesha ulivyokosea kuandika points za Azam na Simba kama ambavyo Saleh jembe alikuwa amekosea. Kama hujagundua mpaka sasa, baki hivyo hivyo. Maishani mwangu nimeishakutana sana na watu wasiotaka kukosolewa. Sometimes we just let them stay ignorant.
 

Mjinga siku zote atakuwa mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…