barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hapa Simba wametuchokoza ngoja tuwapige nyingi.
Jipeni matumaini
Yanga
daima mbele nyuma mwiko.
mtibwa na mbeya cty vip matokeo?
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Pale Bartez kawazawadia
Mkuu unaangalia mechi ipi? Lipuli na Ushirika Moshi nini?
Simba wameloga mpaka refa
Mkuu bado una ujasiri wa kuwepo humu??
Hakuna mwenye link ya live streaming?