barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hapa Simba wametuchokoza ngoja tuwapige nyingi.
Mtakuwa na nafasi ya kuifunga Simba labda, narudia labda atakapostaafu manji. Kazeni buti muisake droo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Simba wametuchokoza ngoja tuwapige nyingi.
Jipeni matumaini
Yanga
daima mbele nyuma mwiko.
mtibwa na mbeya cty vip matokeo?
Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Pale Bartez kawazawadia
Mkuu unaangalia mechi ipi? Lipuli na Ushirika Moshi nini?
Simba wameloga mpaka refa
Mkuu bado una ujasiri wa kuwepo humu??
Hakuna mwenye link ya live streaming?