Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

kiukweli sitamani tena kushangilia Yanga manake hii too much

Usiseme hivyo mkuu, mpira ni kufunga, kufungwa na sare.
Usikate tamaa.Hivi tukifungwa na simba na kombe la ligi tukichukua sisi kipi cha umuhimu?
 
Yanga bwana, makelele kutwa kucha, washinde, washindwe wao ni kelele tu... kama sio kushangilia basi watalalama

Mbaff wahed
 
Bartez anatia huruma sana lile goli alilogawa linamsumbua
 
yanga tulieni mpigwe kipara km kawaida kulia lia hakutawasaidia kitu laki si pesa
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wanaanza kuondoka uwanjani wa yanga
 
Usiseme hivyo mkuu, mpira ni kufunga, kufungwa na sare.
Usikate tamaa.Hivi tukifungwa na simba na kombe la ligi tukichukua sisi kipi cha umuhimu?

Kakata tamaa kabisa huyu mdau.
 
Back
Top Bottom