kiukweli sitamani tena kushangilia Yanga manake hii too much
Yaani wewe unaniongezea machungu mengine kwa hiyo kumbukumbu.Dah...
Mechi ya hovyo kupita zote toka mwaka uanze
Abdi Banda nje, serrunkuma ndani.
Hii imelala hivyo. Poleni yanga
Mechi ya hovyo kupita zote toka mwaka uanze
Simba hawana mpira wowote ni fitina tu zimewabeba
Usiseme hivyo mkuu, mpira ni kufunga, kufungwa na sare.
Usikate tamaa.Hivi tukifungwa na simba na kombe la ligi tukichukua sisi kipi cha umuhimu?
Kuwa Simba raha sanaaaaaaa....