barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kummmmmaaammmaaaaeeeee mlichonga sana kabla ya mechi hiii. Dk 90 zimekwisha refa bado anawabeba yeboyebo ili wapate sare kama kawaida yao.
Refa amewabeba simba kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, simba walikuwa wako kumi na mbili uwanjani pamoja na refa
Nimeamini Simba wanabahati sana.
asante sana
come sun, come rain, yanga daima! Today we have lost the battle but not the war.
Poleni sana yanga
Refa amewabeba simba kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, simba walikuwa wako kumi na mbili uwanjani pamoja na refa
Ndo hivo, ni kujipanga tu mechi zijazo
Batez anajisikia vibaya sana, lakini kiukweli lile goli si la kumlaumu, kipa yeyote angeweza kufungwa, okwi alitumia akili sana kupiga ule mpira