Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Kummmmmaaammmaaaaeeeee mlichonga sana kabla ya mechi hiii. Dk 90 zimekwisha refa bado anawabeba yeboyebo ili wapate sare kama kawaida yao.

Waliongea sana mamaaamaaaaabake hawa!! Niliwaambia LAZIMA wakae! Maaaabake!
Wale wa BAN wale ban sasa!
Huyu ndio mnyama, Simba-Taifa Kubwa, sahau umoja wa mataifa sababu uko chini ya Taifa kubwa-USA.
 
na salamu nyingine namtumia shemeji yangu@ kitwala huko aliko ujumbe na mwambia nashukuru kwa kunipatia dada yake niwe nampakata kila wakati
 
BREAKING NEWS! Kocha wa Yanga kutimuliwa kesho
 
Jamaa mito hua yuko strong sana sijui leo kawaje.Anyways ndio tumeshazipoteza points 3 muhimu.

Nifaaaaaa hahaha okwi anafungiwa soka hawezi kufunga goal umbali wote huoo
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nisubiri magazeti ya kesho maana yamezoea kuibeba Yanga
 
Sasa ndio nina login. Presha ilikuwa kubwa sana, lakini nashukuru tumeshinda.
 
Baby leo nimekupiga kimoja kwa sababu najua ndiyo umetoka bleed juzi tu hujapona vizuri. Usinune Desemba ndiyo huwa napiga vingi, hili kombe halina fedha kama lile.
Cc: Makoye Matale, Bantu lady, mkolaj, nifah, na mbumbumbu wenzenu wote kokote walipo.
 

Attachments

  • 1425827467350.jpg
    1425827467350.jpg
    10.3 KB · Views: 1,824
  • 1425827488075.jpg
    1425827488075.jpg
    18 KB · Views: 267
Last edited by a moderator:
Ndo hivo, ni kujipanga tu mechi zijazo
Batez anajisikia vibaya sana, lakini kiukweli lile goli si la kumlaumu, kipa yeyote angeweza kufungwa, okwi alitumia akili sana kupiga ule mpira

Kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom