Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Pole sana ndugu yangu kwa kufungwa, washabiki kama nyie wenye sober mind mkikosekana kwenye hili jamvi utani unabakia wa kitoto. Hiyo Katavi ulivyoiweka umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Enzi ya RTD, tungewaambia kandambili tukutane saa 2 kasorobo katika kipindi cha michezo, huenda watarudisha. Lile goooooooooo la muda ule huwa linakuwa la yanga kurejesha. Kkkkkkkkk
 
Matokeo yakoje wadau

Unauliza mkeo kapataje mimba wakati ulimdidimiza shedede mwenyewe siku ya 14 yake?
Simba huwa anadidimiza tu kila kwenye tundu anadidimiza tu.
 

No! Simba wana makombe mawili so far ya kitaifa, ni kama vile walishachukua League na FA (TFF) Cup ya Tanzania (Kombe la Mtani Jembe = League Cup ...kama lile walilochukua Chealsea last week; na Kombe la Mapinduzi = FA Cup ambayo Arsenal & Man U wanaligombania kesho)
 
Dk 90+3;

"Simba wanamaliza kwa kupiga pasi 28 bila kupoteza mpira, hadi mwamuzi anaamua kumaliza tu mpira."

Source: Saleh Jembe
 
Uongozi wa Yanga SC umesema hauna hofu yoyote kuelekea mechi yao ijayo watani wa jadi kwani Simba SC kwa sasa si mpinzani wao.


Jerry Muro, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, ameuambia mtandao huu jijini hapa muda mfupi uliopita kuwa hawana hofu yoyote kuelekea mechi hiyo kwa kuwa Simba SC si wapinzani wao kwa sasa.

"Mpinzani wetu kwa sasa ni Azam FC, Simba watabaki kuwa watani wetu, lakini si wapinzani wetu maana hawana nafasi ya kutufikia kileleni mwa msimamo wa VPL," Muro ametamba.

"Hata kama wangeweka kambi nje ya mipaka ya Tanzania, bado wasingeweza kututisha ndiyo maana tunawasubiri hapa hapa Dar es Salaam.


 
Yaani katika michezo mitano tuliyokutana na hawa jamaa ni kuwapiga na au draw. Jerry Muro alisema Simba si lolote si chochote na wasichukue kiki kupitia kwao. Leo naamini. Katepeta mbaya nyooooo Jerry Muro!

Atuambie leo km ni hili lilikuwa bonanza!
 
Unauliza mkeo kapataje mimba wakati ulimdidimiza shedede mwenyewe siku ya 14 yake?
Simba huwa anadidimiza tu kila kwenye tundu anadidimiza tu.

Asanteeee kwa taarifa
 

Midomo imewaponza mlisema tunawafunga kwenye mechi za fedha tu, sasa tumeamua kuwadidimiza kitu hata kwenye mechi zisizo na fedha ya maana wala kikombe.
Endelea kusingizia uko pori la katavi kama Masau Bwire wakati uko Buguruni.
 
Last edited by a moderator:
laki si pesa unajisikiaje shemejiiiiii... simba hawezi kuhangaika na yanga hata siku moja. huyu ni mke wake wa zama na zama.... wala hana haja ya kudanganyia simu wala nini anampigia simu anamwita anakuja anampakata anamruhusu aende zake .... simba hata angefungwa na timu zote bado yanga ni mbovu sana. haalfu angalien huyu manji. alisema angerudisha zile 5- 0 siku zinaenda tu. sisi simba hatuna hiyana na ninyi hata mktaka wachezaji wetu wote tunawapa kama kawaida we umewahi ona simba inahangaika sana na wachezaji wa yanga? hamna. leo mmepona ilikuwa tuwapige viwili tu ... but imekuwa bahati mbaya kwetu. ila msijali yanga yetu sisi tunawajua si ndiyo? Bantu lady na Makoye mmepotelea wapi na sharo bao maana si balo tena. sisi tutawagonga tu ninyi mkileta jeuri tunasema msifanye hivi mkafanya tutawagonga tu, nami nasem mtagongwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…