BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nipo Best vipi wewe mzima? Naona umenitilia like sikujua kama nawe ni wa msimbazi kwa mnyama.
Best upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best upo
MNYAMA FC 1-sinia NDALA FC
Mazuri sana
Simba wamenifurahisha sana dk 3za mwisho yanga wametafuta mpira kwa Tochi.
Pole sana ndugu yangu kwa kufungwa, washabiki kama nyie wenye sober mind mkikosekana kwenye hili jamvi utani unabakia wa kitoto. Hiyo Katavi ulivyoiweka umeua ndege wawili kwa jiwe moja.Nipo Mkuu Masuke. Nilikuwa porini katika hifadhi ya Katavi, natoka Mpanda kwenda Sumbawanga, network ilikata halafu pori refu kishenzi. Nimefika kwenye kijsenta kuna njia panda inaelekeza 'Kabwe Port' ndiyo nimepata network na kuona kuwa mmeshinda kwa bao moja. Hongereeni sana. Ninyi mnacheza zaidi mechi dhidi yetu na makocha wetu wameshindwa kabisa kuwajenga wachezaji kisaikolojia, hicho ndicho kinachotugharimu kila tukikutana.
Mechi imekwisha, ligi inaendelea, tutakutana siku nyingine, hongereeni sana mikia.
Wamezimia nasikia mkolaj aliyekuwa anaongoza kwa kashfa humu jana amekufa kabisa
Pigaaaaaaa ndala ya chooni imeonekana Ikulu. Choma moto hiyooooooo
Matokeo yakoje wadau
Yaani ilikuwa raha ya ajabu, yeboyebo walikuwa wanautafuta mpira kwa kijinga cha moto, tochi waitoe wapi.
Yaani ilikuwa raha ya ajabu, yeboyebo walikuwa wanautafuta mpira kwa kijinga cha moto, tochi waitoe wapi.
Hawa Simba mimi wananiboa sana. Wao kazi kumpakata Yanga tu kila mara kwenye Bonanza kama la leo kwenye ligi hawawezi Kandambili kabisa. Wao mabingwa wa mechi za mchangani. 
Yaani katika michezo mitano tuliyokutana na hawa jamaa ni kuwapiga na au draw. Jerry Muro alisema Simba si lolote si chochote na wasichukue kiki kupitia kwao. Leo naamini. Katepeta mbaya nyooooo Jerry Muro!
Unauliza mkeo kapataje mimba wakati ulimdidimiza shedede mwenyewe siku ya 14 yake?
Simba huwa anadidimiza tu kila kwenye tundu anadidimiza tu.
Nipo Mkuu Masuke. Nilikuwa porini katika hifadhi ya Katavi, natoka Mpanda kwenda Sumbawanga, network ilikata halafu pori refu kishenzi. Nimefika kwenye kijsenta kuna njia panda inaelekeza 'Kabwe Port' ndiyo nimepata network na kuona kuwa mmeshinda kwa bao moja. Hongereeni sana. Ninyi mnacheza zaidi mechi dhidi yetu na makocha wetu wameshindwa kabisa kuwajenga wachezaji kisaikolojia, hicho ndicho kinachotugharimu kila tukikutana.
Mechi imekwisha, ligi inaendelea, tutakutana siku nyingine, hongereeni sana mikia.