Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Sawa ila hatujaanza leo kuwapakua na Azam pia ubingwa anaweza kupata na kwa ss vdume ukiwa na demu ukimtia kichwa tu basi hana ujanja

Wapakuliwe tu, huyo ndiyo Okwiiiii mwingine feki.
Jerry Murro ameonekana msitu wa mabwepande ameshika stuli na kamba haijulikani anataka kufanya nini.
 


Kandambili angalieni wenzenu huku we upo ktk hali gani sasa hivi?? Simba sio watu wazuri kila Game tunawazimisha watu Uwanjani.
 
Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
YANGA
16
9
4
3
21
9
12
31
2
Azam FC
16
8
6
2
23
12
11
30
3
SIMBA SC
17
6
8
3
21
12
9
26
4
KAGERA SUGAR
18
6
7
5
15
15
0
25
5
MTIBWA SUGAR
17
5
8
4
18
17
1
23
6
Coastal Union
18
5
8
5
13
12
1
23
7
NDANDA FC
18
6
4
8
17
22
-5
22
8
STAND UNITED
17
5
6
6
16
18
-2
21
9
RUVU SHOOTING
17
5
6
6
12
14
-2
21
10
JKT RUVU
17
5
5
7
14
16
-2
20
11
MGAMBO SHOOTING
16
6
2
8
11
17
-6
20
12
POLISI MORO
17
4
7
6
13
16
-3
19
13
MBEYA CITY
17
4
7
6
12
16
-4
19
14
T. PRISONS
17
1
10
6
10
20
-10
13

Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
YANGA
16
9
4
3
21
9
12
31
2
Azam FC
16
8
6
2
23
12
11
30
3
SIMBA SC
17
6
8
3
21
12
9
26
4
KAGERA SUGAR
18
6
7
5
15
15
0
25
5
MTIBWA SUGAR
17
5
8
4
18
17
1
23
6
Coastal Union
18
5
8
5
13
12
1
23
7
NDANDA FC
18
6
4
8
17
22
-5
22
8
STAND UNITED
17
5
6
6
16
18
-2
21
9
RUVU SHOOTING
17
5
6
6
12
14
-2
21
10
JKT RUVU
17
5
5
7
14
16
-2
20
11
MGAMBO SHOOTING
16
6
2
8
11
17
-6
20
12
POLISI MORO
17
4
7
6
13
16
-3
19
13
MBEYA CITY
17
4
7
6
12
16
-4
19
14
T. PRISONS
17
1
10
6
10
20
-10
13
 
Focus yetu ubingwa wa VPL. Tuna mechi 8 mkononi wakati mbumbumbu mna mechi 7 na tuko mbele yenu point 5.
Nyie endeleeni kukimbizana na Kagera + mtibwa sugar
 
Yeboyebo mnatuulia wasanii wetu bhana.
 

Attachments

  • 1425840548041.jpg
    104.7 KB · Views: 200
mashabiki wa yanga leo wamewahi kulala sana jangwani kimyaaaaaa.
 

mki mlaumu refa mtakuwa mnakosea kama refa angekuwa makini basi niyonzima, cannavaro, Mrwanda wangepewa red card...wachezaji Wa yanga walikuwa na jaziba ..
 
Last edited by a moderator:
Pole pole...
Kakangu Mpendwa Ngarna Kumradhi braza tafadhali njoo huku umuombe radhi dadaetu BL !! tuwe na roho ya Kimchezo..... Tuvumiliane !!
Sportsmanship!.... kama mpira umesha ishaisha tubaki marafiki na udugu....
Good Luck and be Blessed...
 
Last edited by a moderator:
Zamiluni Zamiluni matusi yameletwa na waliofungwa
na kama utarecall quote ya Grafani11 utaelewa nina maana gani.Tumefungwa mechi zilizopita tulivumilia hatukutukana pamoja na kutukanwa sana. Kama mtu hawezi ushabiki asishiriki. Lakini hatuvumilii matusi.
 
Mshxxxxxxiiiiieeewwww tafuta pesa wewe mtoto wa kiume, umbeya na ushakunaku haulipi.
Hii haikuhusu niliandika mapema, ni wana Yanga tu. Kiss my ***

Mh... Anahasira kama wachezaj Wa yanga,
 
Japo Simba tumeshinda ila tumempoteza shabiki wetu mmoja,ni mtu naemfahamu na ni doctor kwa wale wanaoishi Magomeni Makanya kuna ka-hospital kapo hapa Popobawa ndipo aliakifanyia shughuli zake,wakati wa tukio sikuwa nae habari nimezipata kutoka kwa watu waliokuwa karibu,goli lilipofungwa alinyanyuka kushangilia but hakurudi kukaa akaishia kuanguka.nimesikitika sana hata raha ya ushindi imenitoka.rip dk Masako.
 
Kweli watani mna furaha mpaka imepitiliza mnatoa na lugha za ajabu kisa kumfunga yanga leo,
aya leo kwenu kesho kwetu.
 
Quote ya the say ni ushahidi wa aliyeanza matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…