Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Sawa ila hatujaanza leo kuwapakua na Azam pia ubingwa anaweza kupata na kwa ss vdume ukiwa na demu ukimtia kichwa tu basi hana ujanja

Wapakuliwe tu, huyo ndiyo Okwiiiii mwingine feki.
Jerry Murro ameonekana msitu wa mabwepande ameshika stuli na kamba haijulikani anataka kufanya nini.
 
ImageUploadedByJamiiForums1425839563.414248.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1425839583.394050.jpg
Kandambili angalieni wenzenu huku we upo ktk hali gani sasa hivi?? Simba sio watu wazuri kila Game tunawazimisha watu Uwanjani.
 
Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
YANGA
16
9
4
3
21
9
12
31
2
Azam FC
16
8
6
2
23
12
11
30
3
SIMBA SC
17
6
8
3
21
12
9
26
4
KAGERA SUGAR
18
6
7
5
15
15
0
25
5
MTIBWA SUGAR
17
5
8
4
18
17
1
23
6
Coastal Union
18
5
8
5
13
12
1
23
7
NDANDA FC
18
6
4
8
17
22
-5
22
8
STAND UNITED
17
5
6
6
16
18
-2
21
9
RUVU SHOOTING
17
5
6
6
12
14
-2
21
10
JKT RUVU
17
5
5
7
14
16
-2
20
11
MGAMBO SHOOTING
16
6
2
8
11
17
-6
20
12
POLISI MORO
17
4
7
6
13
16
-3
19
13
MBEYA CITY
17
4
7
6
12
16
-4
19
14
T. PRISONS
17
1
10
6
10
20
-10
13

Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
YANGA
16
9
4
3
21
9
12
31
2
Azam FC
16
8
6
2
23
12
11
30
3
SIMBA SC
17
6
8
3
21
12
9
26
4
KAGERA SUGAR
18
6
7
5
15
15
0
25
5
MTIBWA SUGAR
17
5
8
4
18
17
1
23
6
Coastal Union
18
5
8
5
13
12
1
23
7
NDANDA FC
18
6
4
8
17
22
-5
22
8
STAND UNITED
17
5
6
6
16
18
-2
21
9
RUVU SHOOTING
17
5
6
6
12
14
-2
21
10
JKT RUVU
17
5
5
7
14
16
-2
20
11
MGAMBO SHOOTING
16
6
2
8
11
17
-6
20
12
POLISI MORO
17
4
7
6
13
16
-3
19
13
MBEYA CITY
17
4
7
6
12
16
-4
19
14
T. PRISONS
17
1
10
6
10
20
-10
13
 
Focus yetu ubingwa wa VPL. Tuna mechi 8 mkononi wakati mbumbumbu mna mechi 7 na tuko mbele yenu point 5.
Nyie endeleeni kukimbizana na Kagera + mtibwa sugar
 
Yeboyebo mnatuulia wasanii wetu bhana.
 

Attachments

  • 1425840548041.jpg
    1425840548041.jpg
    104.7 KB · Views: 200
mashabiki wa yanga leo wamewahi kulala sana jangwani kimyaaaaaa.
 
Ha ha haaaaaa Masuke mimi mtoto mwema kabisa, ban mods wakinipa watanionea tu, japo niliiomba mwenyewe.
Tumetaka nanyi mikia mfurahie angalau, maana bila hivyo wakina Aveva wangekuwa kwenye hali mbaya sana.

Week inayoisha hii nilikuwa busy sana tu, leo tena uwanjani nikala za uso, zaidi refa kanichefua sana na yellow card zake double double.
Ile red kwa Ninyonzima ndio akanikata maini kabisa, baada ya muda nikajitokea zangu maana km zege lilishalala lile.

mki mlaumu refa mtakuwa mnakosea kama refa angekuwa makini basi niyonzima, cannavaro, Mrwanda wangepewa red card...wachezaji Wa yanga walikuwa na jaziba ..
 
Last edited by a moderator:
Halafu kuna watu humu kuanzia muda huu, ukiona umeniquote sijakujibu ujue uko kwa dustbin tu.
Kama mtu huwezi kujiheshimu na kutaniana kimpira, please usiniquote wala kunitaja. Sitaki shobo na mtu, kuna wastaarabu ambao tunataniana kistaarabu. Hao tutaendelea kama kawa, ile nyie vichwa vya panzi mnikome.

Kama matusi hapa nina kamusi, sitaki na zaidi niko kwa kwaresma.
Sasa wale wasiojiamini kwenye visuruali vyao kuna nini mtaquote hadi hii.
Aliyeguswa kufwaaaa for me.
Pole pole...
Kakangu Mpendwa Ngarna Kumradhi braza tafadhali njoo huku umuombe radhi dadaetu BL !! tuwe na roho ya Kimchezo..... Tuvumiliane !!
Sportsmanship!.... kama mpira umesha ishaisha tubaki marafiki na udugu....
Good Luck and be Blessed...
 
Last edited by a moderator:
Zamiluni Zamiluni matusi yameletwa na waliofungwa
na kama utarecall quote ya Grafani11 utaelewa nina maana gani.Tumefungwa mechi zilizopita tulivumilia hatukutukana pamoja na kutukanwa sana. Kama mtu hawezi ushabiki asishiriki. Lakini hatuvumilii matusi.
 
Mshxxxxxxiiiiieeewwww tafuta pesa wewe mtoto wa kiume, umbeya na ushakunaku haulipi.
Hii haikuhusu niliandika mapema, ni wana Yanga tu. Kiss my ***

Mh... Anahasira kama wachezaj Wa yanga,
 
Japo Simba tumeshinda ila tumempoteza shabiki wetu mmoja,ni mtu naemfahamu na ni doctor kwa wale wanaoishi Magomeni Makanya kuna ka-hospital kapo hapa Popobawa ndipo aliakifanyia shughuli zake,wakati wa tukio sikuwa nae habari nimezipata kutoka kwa watu waliokuwa karibu,goli lilipofungwa alinyanyuka kushangilia but hakurudi kukaa akaishia kuanguka.nimesikitika sana hata raha ya ushindi imenitoka.rip dk Masako.
 
Kweli watani mna furaha mpaka imepitiliza mnatoa na lugha za ajabu kisa kumfunga yanga leo,
aya leo kwenu kesho kwetu.
 
Back
Top Bottom