Shukrani mkuu,ndo ishatokea tena hatuna jisi.
!
!
aaungurumapo simba
Bado Naongoza Ligi... Tena nimempita Simba sports club points Nne (4) Nikiwa na Mchezo mmoja mkononi.
Bado Naongoza Ligi... Tena nimempita Simba sports club points Nne (4) Nikiwa na Mchezo mmoja mkononi.
Yanga Kama pombe ya sherehe... Unajichotea saizi yako
Wanafukuza point 5 mkuu na wana mechi moja mbele
tuache ushabiki, simba wanajua kucheza soka la kuvutia!! Poleni yanga siku zote timu inayocheza vizuri ndo inayoshinda.
Leo ilikuwa siku ya wanawake...hata simba leo ilikuwa siku yao...si wanawake
Natamani tungekuwa na mechi nyingine na Yebo Yebo kwani najua ni pointi 3 za uhakika.
MUNGU ibariki YANGA.
Nitazimia nikikosa ubingwa wa ligi Kuu Tanzania bara...!
Ingawa mimi ni Simba ila huwa NAMUOGOPA SANA SANA HUYU MZEE AKILIMALI WA YANGA,huwa akiongea tuu,lazima simba tufungwe,sina hakika kama hii mechi aliongea chochote..Bora huyo Jerry Muro. Kuna mtu anaitwa Mzee Ibrahimu Akilimali kama umesikiliza E FM hadi huruma
Usijali....
Acha tuongoze ligi na mwisho wa siku tuchukue kombe letu.
Wao hapo wameshamaliza ligi.... Si unajua kwamba wanashiriki ligi ili kumfunga Yanga tu.!!!!
Usijali....
Acha tuongoze ligi na mwisho wa siku tuchukue kombe letu.
Wao hapo wameshamaliza ligi.... Si unajua kwamba wanashiriki ligi ili kumfunga Yanga tu.!!!!
Ingawa mimi ni Simba ila huwa NAMUOGOPA SANA SANA HUYU MZEE AKILIMALI WA YANGA,huwa akiongea tuu,lazima simba tufungwe,sina hakika kama hii mechi aliongea chochote..