Inauma Sana kuona kila tunapocheza na simba,tunafungwa Magoli ya kijinga!
Goli la leo kipa haileweki alikuwa anaenda wapi!?
Nyie yanga mnacheza mpira kwenye magazeti ya Bingwa, Champion na Mwana sport. Mtawaweka watu bench hadi golini mtamweka Akilimali na sub yaka atakuwa Manji/Jerry Muro

