Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Jana simba ilifanya kitu tulichokuwa tunasubiri kwa hamu, sasa sijui kocha huyu atapona na sasa msubiri labda mwakani kwenye mtani jembe ambayo nayo imekuwa mwiba kwa yanga, tokea ilipoanzishwa mtani jembe tumekuwa tukiwafunga
NASEMA TENA POLENI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
dida,barthez,mrwanda,yondani,tambwe,ngasa(na baadhi ya viongozi)...wote simba..mtaifunga vp simba
 
JANE MURO hadi sasa hivi hajarudi kwakwe na TRAFIK wanamtafuta kweli.
Hahahahahahahahaahahaaaaaaaa.....teheteheteheteheteheteeeee....nani kamuona Jen Muro wetu jamani? Wasijekuwa wale wauaji wa Albino wamempitia baada ya kukosa Albino.
 
tehe tehe tehe, umeamia kwenye msimamo wa ligi na sio ushindi, ingekua ivo si mgeomba mechi ifutwe kwakua mnaongoza ligi
Mkuu mwache afurahie kidogo maana kuongoza ligi huo ndio ubingwa pekee aliowahi kuupata toka mwaka 2013.
 
Nilidhani mtajihisi kama mko nafasi ya Kwanza...!

Basi Acha wanaume tuongoze ligi.!
Ni kweli kuongoza ligi ndiyo ubingwa pekee uliobakia kwenu toka mwaka 2013 nao hauna muda mrefu wenye nafasi yao wanachukua.
 
Yanga baiskeli ya miti tu, juzi mlijisifu eti hamshiki n atimu yoyote kwa pengo la point 4 leo hii Azam anawapumulia kisogoni, wakati Baba lao Simba lililojaa mifwedha ya Mtani Jembe, Mapinduzio kapu linakuja kuchukua kombe lake. Makombe yote TZ ni mali ya Simba mwaka 2014/2015 kuanzia Mtani Jembe, Mapinduzi Cup mpaka Ligi Kuu na kuendelea.

Na wote tuseme Aaaamina.
 
umeonaaaa wapi sammata,thomas ulimweengu

Kijana wetu Samata, mwezi wa 7 anaenda kukipiga UEFA Champions League kwa wanaojua wenzake.. Naimani anaenda kuwatengenezea njia kina ulimwengu.. Pia usisahu kuna wale mafundi kama mesi, isihaka na mkude ambao mwezi wa 6 watakua katika majaribio katka club bora duniani real madrid.
 
Back
Top Bottom