Kwani ligi Imeanza mwaka 2014....?
Wewe ni mbishi...Kwaheri
Kwa moyo huo ulioonyesha wa kuitete club yako... nakupa hongera.
Mnajua kabisa hamko pale ambapo kila mtu alizoea kuwaona.... lakini ulikuwa sambamba kabisa katika kuitete na kumwaga sifa.
Lengo langu hapa lilikuwa ni kukukumbusha wajibu wenu kama mashabiki wa Simba...
Mnapaswa kuangalia mbali tena na malengo makubwa.
Usiridhike na timu yako kuifunga Yanga Fc tu.. Tia hamasa kwa viongozi wenu ili wawape maelezo ya kwa nini mna UKAME na UKAVU... wa UBINGWA.
Ni kweli mmekuwa mkiwafunga Yanga Fc kwa siku nyingi... Je mnamalengo gani mengine kabla ya hapo..?
Au ndio mshamaliza...?
kama yanga mnaruhusihiwa kumiliki kopi ya katiba lakini hamuwezi kufanya chochote iwapo katiba imevunjwa haina maana tena kwani mlitakiwa kufanya uchaguzi mwaka huu lakini kwa kuwa mhindi kateka akili zenu mmekubali kuongeza muda wa kukaa madarakani mkitegemea atarudisha bao tano matokeo yake kila mechi anapigwaKatika klabu yetu ya Yanga, unapewa ruhusa ya kumiliki Kopi ya Katiba ya Klabu hata kama si mwana chama HAI.
Ndio Raha ya kuwa shabiki wa Yanga Fc.
Sishangai kuona Hujui Lolote linalo husu Katiba ya Simba, kwa sababu unatakiwa uwe mwana chama hai na pia uwe umesajiliwa katika kikundi kimoja wapo cha ushangiliaji kama vile MpiraPesa au WekunduWaMsimbazi.
Hii inachekesha sana..!!!
Ni majanga makubwa kuwa shabiki wa Simba.
Ndo tushamaliza.
Anataka mume awe na malengo gani kwa mkewe zaidi ya kumzalisha kila mwaka. Hahahahaaaaas...
Mara ya mwisho, mechi kupigwa Machi 8, Yanga alikufa 1-0Tanzania itakuwa kimya kwa muda wa dakika 90 , mnamo tar 8 march.
Live updates zote zitakuwa humu ndani.
Majadiliano, uchambuzi, na mengineyo.
Jiachie...! Usisahau ku_subscribe.
FULL TIME:
Simba 1 - 0 Yanga Afrika
Ligi Kuu Tanzania Bara
Uwanja wa Taifa