Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ili umfunge YANGA Yakupasa ufanye mambo haya mitatu muhimu...

.
1. Weka kambi Zanzibar

2. Hakikisha unakamia kana kwamba unacheza na Barcelona.

3. Chezesha mchezaji asiye stahili kucheza.

Usipofuata hayo kikamilifi ni dhahiri kwamba utachezea kichapo.
 
Yanga haina uwezo wa kuchukua kombe...Ikichukua natembea uchi toka mang'ola hadi Katesh

Utaamini tu....!

Timu imejengwa katika misingi ya KUKAMIA UBINGWA na wala si kukamia timu nyingine.
 
Wewe ni mbishi...Kwaheri

Kwa moyo huo ulioonyesha wa kuitete club yako... nakupa hongera.

Mnajua kabisa hamko pale ambapo kila mtu alizoea kuwaona.... lakini ulikuwa sambamba kabisa katika kuitete na kumwaga sifa.

Lengo langu hapa lilikuwa ni kukukumbusha wajibu wenu kama mashabiki wa Simba...
Mnapaswa kuangalia mbali tena na malengo makubwa.

Usiridhike na timu yako kuifunga Yanga Fc tu.. Tia hamasa kwa viongozi wenu ili wawape maelezo ya kwa nini mna UKAME na UKAVU... wa UBINGWA.

Ni kweli mmekuwa mkiwafunga Yanga Fc kwa siku nyingi... Je mnamalengo gani mengine kabla ya hapo..?

Au ndio mshamaliza...?
 
Kwa moyo huo ulioonyesha wa kuitete club yako... nakupa hongera.

Mnajua kabisa hamko pale ambapo kila mtu alizoea kuwaona.... lakini ulikuwa sambamba kabisa katika kuitete na kumwaga sifa.

Lengo langu hapa lilikuwa ni kukukumbusha wajibu wenu kama mashabiki wa Simba...
Mnapaswa kuangalia mbali tena na malengo makubwa.

Usiridhike na timu yako kuifunga Yanga Fc tu.. Tia hamasa kwa viongozi wenu ili wawape maelezo ya kwa nini mna UKAME na UKAVU... wa UBINGWA.

Ni kweli mmekuwa mkiwafunga Yanga Fc kwa siku nyingi... Je mnamalengo gani mengine kabla ya hapo..?

Au ndio mshamaliza...?

Ndo tushamaliza.
 
Ndo tushamaliza.

Sasa ungesema haya tangu mwanzo, nadhani tusinge jaza huu uzi...!

Mmekwisha ninyi... mmebaki kushangilia vijipoints.

😁😁😁😁😁.
 
Katika klabu yetu ya Yanga, unapewa ruhusa ya kumiliki Kopi ya Katiba ya Klabu hata kama si mwana chama HAI.

Ndio Raha ya kuwa shabiki wa Yanga Fc.

Sishangai kuona Hujui Lolote linalo husu Katiba ya Simba, kwa sababu unatakiwa uwe mwana chama hai na pia uwe umesajiliwa katika kikundi kimoja wapo cha ushangiliaji kama vile MpiraPesa au WekunduWaMsimbazi.

Hii inachekesha sana..!!!
Ni majanga makubwa kuwa shabiki wa Simba.
kama yanga mnaruhusihiwa kumiliki kopi ya katiba lakini hamuwezi kufanya chochote iwapo katiba imevunjwa haina maana tena kwani mlitakiwa kufanya uchaguzi mwaka huu lakini kwa kuwa mhindi kateka akili zenu mmekubali kuongeza muda wa kukaa madarakani mkitegemea atarudisha bao tano matokeo yake kila mechi anapigwa
 
Sihitaji katiba mkononi mwangu ili niweze kuandamana endapo suala/kipengere fulani kimevunjwa kwa manufaa ya Klabu....!

Binafsi Nahitaji mhindi aendelee kuwa pale mpaka lengo la kuextend huo mda litimie....!

Inaonekana kwamba nyinyi bado ni wabichi mno katika masuala ya soka la hapo Bongo.

Nawashauri mashabiki wa Simba, kwamba mupende kutumia akili kwa kina chake ili kufafanua masuala ya Soka.
 
Simba haina haja ya kubeba makaratasi mikononi, kila kitu kipo kichwani. Mbumbumbu ndiyo hubeba vibomu hata kwenye chumba cha mitihani.
Kuna faida gani kutembea na mikaratasi mkononi halafu unashindwa kufahamu kuwa Cannavaro alilimwa straight red anatakiwa kukosa michezo mingapi?

Unabeba mikaratasi mkononi lakini hujui ni kwanini Ibrahim Ajib alichezeshwa wakati ana kadi 3 za njano.
Unamikaratasi mkononi lakini hujui jinsi ya kumkaba Okwi uwanjani, kila mkikutana na Simba anawafunga atakavyo.
 
Mikia hiyooooooo! Ubingwa lini wenzetu....?
 
Kimataifa zaidi....! Tunachanja mbuga..... 😀😀😀😀😀😀😀
 
Okwi wenu alikuja kuangalia soka....... YANGA FC ni taasisi kubwa bhanaaaaa..
 
Tanzania itakuwa kimya kwa muda wa dakika 90 , mnamo tar 8 march.

Live updates zote zitakuwa humu ndani.

Majadiliano, uchambuzi, na mengineyo.

Jiachie...! Usisahau ku_subscribe.

10433841_487950871344206_2731706910014970495_n.jpg



FULL TIME:
Simba 1 - 0 Yanga Afrika

Ligi Kuu Tanzania Bara

Uwanja wa Taifa
Mara ya mwisho, mechi kupigwa Machi 8, Yanga alikufa 1-0
 
Back
Top Bottom