Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Barthez wetu, Kelvin mtoto wetu, Ngassa tumeuza wenyewe na kufunga tunafunga wenyewe.
Safari ya pluijim nilishasema imefika. Send off hiyooooooo
 
simba wanakaba kweli kweli, sioni dalili za goli kurudi
 
Yanga wanafungwa kisaikolojia pia,safi sana Ivo mapunda,wakti wao wanaendelea kuwaza taulo nyie tieni magoli.........Tauloooo

Ni upumbavu, wameamini sana nguvu ya taulo, Ivo ni muumini mzuri wa Mungu, ila kawajua ni watu wenye imani za kishirikina, sasa anawachezea!
 
Yeboyebo wanajamba tu hapa uwanjani, wanazidi kuzimia nahisi wengine wameshakunya huku.
 
Simba raha huku jameni. Yanga wameanza rafu lakini refa anawabeba. Tulishayaelewa haya mapema.
 
Kandambili wamekimbia jukwaa. Hahahaaaaaaaaaa
Mamamamaaaaaaaa njoooni wachumba zetu.
 
pasi za mwisho za yanga hazina macho
 
Yanga tupeni raha jamani! Mnataka nilale kwenye friji leo au?
 
Back
Top Bottom