Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga tupeni raha jamani! Mnataka nilale kwenye friji leo au?
Yanga wanakosa nafasi hapa
Poleni sana
huyu refa naye vipi, hiyo kadi nyekundu kwa niyonzima siyo kabisa, mtu yuko kwenye motion kabisa!!!
Niyonzima nje, anadai hajasikia nini? Hakuona hakuna reaction kutoka kwa wachezaji wenzake???
Shame, yanga hawawezi kuji-control!
simba wanakaba kweli kweli, sioni dalili za goli kurudi
hahahaha mkuu za siku nyingi
Unprofessional conduct, kafanya Niyonzima, kadi ni haki yake, kwanza amewalinda sana!huyu refa naye vipi, hiyo kadi nyekundu kwa niyonzima siyo kabisa, mtu yuko kwenye motion kabisa!!!