Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Hawa Simba mimi wananiboa sana. Wao kazi kumpakata Yanga tu kila mara kwenye Bonanza kama la leo kwenye ligi hawawezi Kandambili kabisa. Wao mabingwa wa mechi za mchangani. 😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
 
We muhudumu uliyevaa yebo yebo za njano, jeans ya kijani na tisheti ya njano niongezee bapa 1 tafadhari.. Fanya Haraka.
 
Hapa nijiendee zangu kwenye uzi wetu murua wa Man U, maana hapa pashachafuka.
 
Duh Yanga washakua wachumba wa Simba, pamoja na ubovu wa Simba bado wamepigwa
 
Hahahahahahaha lol! ila angalia asikutilie sumu kwenye kinywaji, si unamuona alivyonuna lol!

We muhudumu uliyevaa yebo yebo za njano, jeans ya kijani na tisheti ya njano niongezee bapa 1 tafadhari.. Fanya Haraka.
 
ndo hivo ni matokeo ya mchezo, ila timu si mbaya sema tu ujanja wa okwi, mi nashabikia yanga lakini nasemaga ukweli kuwa okwi kwenye ligi yetu anaongoza kwa ubora, aliniboa tu alipokuwa yanga hakucheza kama anavyokuwaga na simba

"unapomlipa vizuri mfanyakazi wako, ufanisi wake huongezeka maradufu". Asante Okwi.
 

Nipo Mkuu Masuke. Nilikuwa porini katika hifadhi ya Katavi, natoka Mpanda kwenda Sumbawanga, network ilikata halafu pori refu kishenzi. Nimefika kwenye kijsenta kuna njia panda inaelekeza 'Kabwe Port' ndiyo nimepata network na kuona kuwa mmeshinda kwa bao moja. Hongereeni sana. Ninyi mnacheza zaidi mechi dhidi yetu na makocha wetu wameshindwa kabisa kuwajenga wachezaji kisaikolojia, hicho ndicho kinachotugharimu kila tukikutana.

Mechi imekwisha, ligi inaendelea, tutakutana siku nyingine, hongereeni sana mikia.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha lol! ila angalia asikutilie sumu kwenye kinywaji, si unamuona alivyonuna lol!

Haha.. Mkuu hapa ni tarumbeta kama kawa, namnyima nafasi ya kuniwekea madawa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom