Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Tff inajua kabisa mach8 ni ckukuu yetu wanayanga halafu wanatupangia mechi leo jeny muro mwnsheria wa prson tutetee
 
Usimlaum nimipango ya mungu kuwaonyesha yanga kua yeye ndie mpangaji, wacheni midomo,pia kabla ya mechi azam tv waliweka kajisehem ka ujinga wenu, sa ukimlaum kipa unamuonea
 
Nilipata kizunguzungu kufuatilia pasi 28 bila kupoteza hadi mwamuzi akamaliza mpira. Kwa kweli nimefurahi kwani mpenzi hatongozwi unashika mkono tu basi. Tumezoea viwili mpaka 6 lakini kimoja pia kina utamu wake. Nasikia wamekata rufaa tumemchezesha Ajibu.

Nimeipenda hiyo, mpenzi hatongozwi ni kumwambia tu sasa leo vipi, anakuwa ameshaelewa mzee anataka nini. Teheteheteheeeeeeeeee
 
Jaman tuache utan, hv bao LA okwi lingekuwa la kitandan kweli demu angemwacha kweli? Si kila siku angekuwa anamwambia bebi Leo tena basi

Daaah mkuu sidhani kama demu atamuacha hata Okwi angekuwa na michepuko kama Kapteni K demu atavumilia tu.
 
Jerry Muro aliyaona mapema sana
ndio maana alianza kulalama mapema
 
ImageUploadedByJamiiForums1425831679.430244.jpg
Raha ilioje ukikipa raha kipenzi chako? Machozi siku zote sio uchungu tuu hata kwenye raha machozi yanatoka. Jerry Muro upo!
 
Hii ilikuwa simba fc vs simba veterani . Yan malapulapu ya simba ndo yamejaa yanga (yondani , barthez, ngasa, mrwanda na wengine kibao mtamalizia na waliokuwa bench ) .. hivi bench la ufundi la yanga lina akili kweli , machezaji hayana akili faul za kipuuz puuz na hayana pumzi ... "natania mtani "
 
Mwaka huu wana-yanga ni lazima mtage mayai na kutotoa kutokana na kichapo cha mfululizo kutoka kwa Simba.
 
YM alikuwa amemaliza kipindi chake cha uongozi mwaka jana, lakini alipoona hadi anamaliza uenyekiti hajaifunga Simba, akaomba aongezewe mwaka mmoja. Tutegemee ombi lingine la kuongezewa mwaka mwingine
 
Tff inajua kabisa mach8 ni ckukuu yetu wanayanga halafu wanatupangia mechi leo jeny muro mwnsheria wa prson tutetee

Kumbe tarehe 8 march ni siku ya yeboyebo. Jerry murro akitafutwa atasema yuko njiani kwenda Iringa kama Masau Bwire...chezea kuvurugwa wewe
 
Kuna tija ya kuwapa moyo na kuwaweka katika hali ya kisaikologia Mashabiki MBUMBUMBU wa simba...! hatutaki kuona watu wakianza kuzimia uwanjani...!

Maana mashabiki mbumbumbu hawachelewi kuzumia wanapokutana na YANGA FC.

Jisome tena.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Simba B nae katika mechi ya kuandaa harusi imeipiga Yanga B goli 4 - 2 . Hao vijana nao wameanza kuiga tabia ya mpenzi hatongozwi unajishikia tu mkono mambo khalaas.
 
Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?
Hapana, haifanyi lolote kati ya hayo, ila inamfukuzisha kocha wa Yanga na Barthez
 
Back
Top Bottom