Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

DK 79, Nchimbi anawatoka mabeki wote wa Yanga, yeye na Dida anatoa nje
Dk 75, Niyonzima anaingia vizuri lakini Kenny Ally anamshitukia na kuokoa
SUB Dk 68, Yanga wanamtoa Tambwe na nafasi yake inachukuliwa na Obrey Chirwa
DK 64 sasa, mashambulizi ni kwa zamu na Mbeya City kidogo wanaongeza undava kidogo hasa upande wa walinzi na viungo wakabaji
 
LIVE KUTOKA KAMBARAGE SHINYANGA; STAND UNITED 0 VS 1 SIMBA (KIPINDI CHA PILI)




DDk 50, Stand wanaonekana kwenda taratibu na zaidi wanamtumia Amri Kiemba ambaye yuko vizuri
Dk 47, mpira umeanza kwa kasi na Stand United wanaonekana wamepania kusawazisha bao


DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
Dk 45, Kichuya anapaa kama mkizi na kuunganisha kichwa mpira wa adhabu lakini unatoka sentimeta chache kwenye lango la Stand
Dk 43, hakuna shambulizi kali zaidi ya kila timu kupiga pasi nyingi, Stand wakionekaan kufika zaidi kwenye lango la Simba
Dk 42 sasa, Stand wanaonekana kuongeza mashambulizi mengi zaidi ya Simba ambao wanafanya mashambulizi ya kushitukiza tu
Dk 35, Stand wanapata kona baada ya kusukuma mashambulizi mfululizo kwenye lango la Simba
]Dk 33, GOOOOOOOOO Kichuya aaukwamisha mpira wavuni
Dk 31, PENAAAAAAAT...MAVUGO Anaangushwa na Adeyum
Dk 30, Stand wanafanya shambulizi kali hapa, piga nikupige lakini Simba wanaokoa
KADI Dk 29, Mwanjale analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Sabato
Dk 27, mpira unaendelea lakini ni taratibu kutoka kila upande kama vile hakuna timu yenye haraka
Dk 26 sasa, mpira umesimama, kuna mchezaji wa Stand United anatibiwa pale uwanjani
Dk 23, Mo Ibrahim anapoteza nafasi nzuri hapa ya kufunga akiwa amebaki na lango, mpira unamzidi nguvu
Dk 22, mpira unaonekana kuchezwa zaidi katikati ya uwanja na hakuna mashambulizi makali kwenye milango
DK 19, Bukungu anafanya kazi ya ziada kuokoa krosi ya Kelvin Sabato
Dk 13, Stand wanaonekana ni wengi zaidi nyumba huku wakifanya mashambulizi ya kushitukiza
Dk 10, mpira unaonekana kuwa wa juu zaidi na hata milango haina kashkash sana, kila timu iko makini kwenye ulinzi
Dk 5 sasa, bado mpira unaonyesha kuchangamka lakini timu zote mbili si bora katika umaliziaji
Dk 1, mechi inaanza na Simba wanakuwa wa kwanza kushambulia. Lakini Mavugo anacheza faulo na mwamuzi anasema mpira uelekezwe Simba
 
Dk 81, bado inaonekana Mbeya City ndiyo wanaonekana kulalia kwenye lango la Yanga
DK 79, Nchimbi anawatoka mabeki wote wa Yanga, yeye na Dida anatoa nje
Dk 75, Niyonzima anaingia vizuri lakini Kenny Ally anamshitukia na kuokoa
 
DAKIKA 4 ZA NYONGEZA
Dk 89, kipa Mbeya City anaidaka krosi safi ya MSuva kwa ufundi kabisa
Dk 87, shuti kali la MWahiuya linapaaa juuuu ya lango la Mbeya City
Dk 86, Kessy anaingia vizuri na kuchonga krosi moto, City wanaokoa na kuwa konaaa, inachongwa na Mwashiuya, inaokolewa
 
DK 60, Selembe anapiga kichwa safi mbele ya mabeki wa Simba, goal kick
Dk 58, Stand wanapata kona inachongwa na Angban anaidaka kwa ulaini kabisa
Dk 56, Job analazimika kufanya kazi ya ziada kuokoa pasi nzuri ya Kichuya iliyokuwa inakwenda kwa Mo Ibrahim. Inakuwa inachongwa lakini haina faida
 
Mahundi kwa Mbeya City, anaingia Issa Nelson
-Mwashiuya anaachia shuti kali kabisa hapa, lakini nje.
 
Back
Top Bottom