Ligi kuu Bara: Stand United Vs Yanga

Yanga inashinda kila mechi hata ladha ya Ushindi unapungua. Ongera Yanga yangu lakini.
 
Hakuna lolote
Mtabaki na kilio hilo mpaka mtakapo kuja kugundua kuwa Mnapoteza muda.


Fukuza Kiiza, tafuta mtu kama Ngoma.

Kuongeza wa nini kama unataka ubingwa.

Timu imejaa wapiga dili ndio maana Ubingwa mtakuwa mnausoma magazetini mpaka Yesu arudi.
 
Full time:
stand united 1
Sisi 3.
 
Mikia hawakawii kulalamika hii mechi eti Yanga kabebwa utafikiri wao walikuwa wanacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…