Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Ngapi ngapi??Wamepewa penati laini sana Stand Utd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngapi ngapi??Wamepewa penati laini sana Stand Utd
Hahahaah nihamie wapi badala ya leicesterToroka uje ndugu the gunners ndio hivyo msimbazi shida.
Hahahaaah acha masikhara...!!Mkia haujakatika mtani
Refa amechemka pale...Sio mbaya wakifuta machoziWamepewa penati laini sana Stand Utd
Hahaaa kumbe ulikuwa huangalii mkuuNgapi ngapi??
Anajifanya hataki ila moyoni amekubaliKaumia huyo namwambia aje hataki.
Mtabaki na kilio hilo mpaka mtakapo kuja kugundua kuwa Mnapoteza muda.Hakuna lolote![]()
Waache wafute machozi. 7-1 ni mbaya sanaWamepewa penati laini sana Stand Utd
Refa ameibeba kabisa YANGA, wewe hukuona? Faulo za wazi kabisa anaacha...teh teh teh tehMikia leo wanasababu gani mpya?
Wangepewa Yanga penati ya aina hiyo hali ya hewa ingeisha chafuka tayari.Wamepewa penati laini sana Stand Utd