Ligi kuu Bara: Stand United Vs Yanga

Refa ameibeba kabisa YANGA, wewe hukuona? Faulo za wazi kabisa anaacha...teh teh teh teh
Magoli ya offside kabisa yale, ahaaaaaa kazi mnayo kwa kweli. Badala ya kufanya usajiri wa maana mmekalia Yanga inabebwa
 
Magoli ya offside kabisa yale, ahaaaaaa kazi mnayo kwa kweli. Badala ya kufanya usajiri wa maana mmekalia Yanga inabebwa

Tehtehteh hahaaaaaaaaaaaaah, soma kwa makini post yangu
 
Hapa Ngoma, pale Tambwe washanyooka na sasa wanaisoma namba.
Kwetu raha kila siku, pia ukijua vitu bora kama Yanga. Hongereni sana.
Yanga daima mbele, nyuma mwiko...

#teamyangaforever#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…