mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Heeeeeee mtaa wa pili wangeongea hadi Blatter ajeWangepewa Yanga penati ya aina hiyo hali ya hewa ingeisha chafuka tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeeeeee mtaa wa pili wangeongea hadi Blatter ajeWangepewa Yanga penati ya aina hiyo hali ya hewa ingeisha chafuka tayari.
Magoli ya offside kabisa yale, ahaaaaaa kazi mnayo kwa kweli. Badala ya kufanya usajiri wa maana mmekalia Yanga inabebwaRefa ameibeba kabisa YANGA, wewe hukuona? Faulo za wazi kabisa anaacha...teh teh teh teh
Magoli ya offside kabisa yale, ahaaaaaa kazi mnayo kwa kweli. Badala ya kufanya usajiri wa maana mmekalia Yanga inabebwa
Na mimi nilikuwa naongezea kusherehesha tu mkuu teh tehTehtehteh hahaaaaaaaaaaaaah, soma kwa makini post yangu
Njoo unitedHahahaah nihamie wapi badala ya leicester
Hongereni mabingwaDakika ya 92
Stand Utd 1-3 Yanga
Nilikuwa barabarani mkuuHahaaa kumbe ulikuwa huangalii mkuu
1-3
Hahahaaah kumbe hatuchekani...!!! United...????Njoo united
Na mimi nilikuwa naongezea kusherehesha tu mkuu teh teh