Ligi Kuu Bara: Yanayojiri viwanjani leo 9 Mei 2015

Dakika 26 Ndanda 1 0 Yanga
Simba 1 1 Ruvu jkt,
Stend 1 0 Ruvu shooting.
 
Bantu lady tumefungwa huku,
uko wapi hujaonekana humu.
 
Last edited by a moderator:
Dakika ya 40 Ruvu wanakataliwa goli safi,kwa madai ni off side!
 
Azam tv,wanamaanisha nn,kwanba simba haina mvuto au?...

Wanamaanisha Mikia siku zote ni wa kukaa nyuma! Hawana mpango kwa sasa. Labda wasubiri mechi zao za Kombe la MCHANGANI.
 
Nangwanda half time-
ndanda 1-0 yanga
 
mkuu tuwekee kikosi cha YANGA


Kikosi cha YANGA,
1. Baltez
2. Juma abdul
3. Edward charles
4. Ngonyani
5. Yondani
6. Makapu
7. Mrwanda
8. Nizar halfan
9. Tegete
10. Tambwe
11. Coutinho
 
Kikosi cha YANGA,
1. Baltez
2. Juma abdul
3. Edward charles
4. Ngonyani
5. Yondani
6. Makapu
7. Mrwanda
8. Nizar halfan
9. Tegete
10. Tambwe
11. Coutinho

pamoja sana mkuu nimekupa fresh
 
Duh masau Bwire oyeeeeeee!!' Anashuka daraja na team yake!' Tutakumiss siyo utani
Pole yake, mdomo umemponza.
Fanya kwel stand tupigie huyo masau bwire.
 
Pole yake, mdomo umemponza.
Fanya kwel stand tupigie huyo masau bwire.


Mkuu upo tayari tumpoteze masau Bwire?
mimi itaniuma sana huyo jamaa kwani nitammiss sana kwa kauli zake.
 
Kipindi cha pili ndo kinaanza,
Ndanda 1 0 Yanga.
 
Naomba mungu ruvu shooting apate ushindi ili masau bwire asitutoke.mungu saidia ruvu shooting,mungu saidia masau bwire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…