Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
bantu lady tumefungwa huku,
uko wapi hujaonekana humu.
nyie wafanya biashara tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bantu lady tumefungwa huku,
uko wapi hujaonekana humu.
nyie wafanya biashara tu....
Naomba mungu ruvu shooting apate ushindi ili masau bwire asitutoke.mungu saidia ruvu shooting,mungu saidia masau bwire.
Simba 2 1 jkt ruvu.
Kuna biashara gani ligi kuu mkuu?
Mbona jukwaa limepoa hivi kisa Bingwa kapatikana au?
Mmesahau biashara mnaoifanya ligi kuu ya kununua na kuuza mechi...
Azam vp?
Naomba mungu ruvu shooting apate ushindi ili masau bwire asitutoke.mungu saidia ruvu shooting,mungu saidia masau bwire.
hao sio wengine Bali ni simba sc
Tungeshaongoza ligi na kuchukua kombe...hata ya leo tungefungwa....
nyie wafanya biashara tu....
nyie wafanya biashara tu....