Ligi Kuu Bara: Yanayojiri viwanjani leo 9 Mei 2015

Mbona jukwaa limepoa hivi kisa Bingwa kapatikana au?
 
hivi ule mpango wa kadi tatu Za njano spesho kwa kuibeba mikia uliishia wapi wakuu??
 
Mbona jukwaa limepoa hivi kisa Bingwa kapatikana au?

Soka limevamiwa na wafanya biashara mfano huko mtwara tulijua nani mshindi hata juzi tulijua nani mshindi kati ya yanga na Azam FC...
 
nasikia okwi aka govinda amewwaahidi mambumbumbu eti msimu ujao watapanda ndege
 
nyie wafanya biashara tu....

Mkuu tuna mil 600 za azam tv tumezisusa.....hao kuchere watatupa sh. Ngapi za kututosha..sema tumetoa zawadi kwa wanantwara kwakuwa ndo mkoa unaoongoza kwa kuwa na washabiki wengi wa yanga...98% ya wanamtwara ni mashabiki wa wakimataifa fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…