Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
kabla ya Manji munuaji alikuwa Gullamali, na kabla ya Gullamali (RIP) akikuwepo mwingine
Msemaji wa JKT Ruvu ni mwanajeshi mmoja anaitwa Masanja.
Kuna mwaka mlishika nafasi ya mwisho,unakumbuka point mbili zilizowabakiza daraja la kwanza mlikozipata?(Nazungumzia nyie mikia).
Maskini Massao Bwire, basi imekula kwake, alikuwa nafasi ya 9 kabla ya mechi za leo.
Kwa hakika 'ajidhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka'.
Kweli Yanga imechoka hata Ndanda inayoshuka daraja! Manji akibania Mpesa yake tu majanga.
Ombeni Mungu wenu asiondoke maana mtashuka daraja kabisa.
Siyo sawa.
Zimeshuka timu mbili tu, Polisi Morogoro na Ruvu Shooting a.k.a Vijana wa Massao Bwire.
Itashuka simba lakini sio yanga.
Rejea mwaka 1988 nani kati ya yanga na simba amewahi kukutwa na msala wa kutaka kushuka daraja.
Liwe funzo kwa mropokaji mwingine wa mtibwa suger Thobias kifaru, aache kuongea sana, wakat ligi inaanza baada ya mtibwa kuifunga yanga kifaru na maxime walichonga sana wakisema yanga imeacha kuwasajil wacheza mpira wakasajil warusha mpira ila wanajua kilicho wakuta mwisho mwa ligi walivyokuwa wanatapatapa kujinusuru kushuka daraja.
Masau Bwire aliifananisha yanga na gari bovu ila kwa laana za wananchi timu yake imejikuta inaangukia ligi daraja la kwanza.
Kifuatacho Hajji Manara na simba yake nae itakuwaje! tusubir msimu ujao...
Yanga sio kama simba, mlimuacha Amiss Tambwe mkamleta Danny sserunkuma (Uncle mpoto).Hapo kwa Manara unaitwa ndoto za mchana! Mi najua mtastruggle mwanzoni mwa ligi ijayo kama Ngassa, Niyonzima ,Twitter na Msuva Wakiondoka
Hapo kwa Manara unaitwa ndoto za mchana! Mi najua mtastruggle mwanzoni mwa ligi ijayo kama Ngassa, Niyonzima ,Twitter na Msuva Wakiondoka
View attachment 250795View attachment 250795 Hawa hapa mikia
Hivi hapa ndo ule mwaka walibebwaga na yanga wasishuke daraja eeh??
Maskini Massao Bwire, basi imekula kwake, alikuwa nafasi ya 9 kabla ya mechi za leo.
Kwa hakika 'ajidhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka'.