Ligi Kuu Bara: Yanayojiri viwanjani leo 9 Mei 2015

kabla ya Manji munuaji alikuwa Gullamali, na kabla ya Gullamali (RIP) akikuwepo mwingine

Kuna mwaka mlishika nafasi ya mwisho,unakumbuka point mbili zilizowabakiza daraja la kwanza mlikozipata?(Nazungumzia nyie mikia).
 
Msemaji wa JKT Ruvu ni mwanajeshi mmoja anaitwa Masanja.

Maskini Massao Bwire, basi imekula kwake, alikuwa nafasi ya 9 kabla ya mechi za leo.

Kwa hakika 'ajidhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka'.
 
Kweli Yanga imechoka hata Ndanda inayoshuka daraja! Manji akibania Mpesa yake tu majanga.
Ombeni Mungu wenu asiondoke maana mtashuka daraja kabisa.
 
Liwe funzo kwa mropokaji mwingine wa mtibwa suger Thobias kifaru, aache kuongea sana, wakat ligi inaanza baada ya mtibwa kuifunga yanga kifaru na maxime walichonga sana wakisema yanga imeacha kuwasajil wacheza mpira wakasajil warusha mpira ila wanajua kilicho wakuta mwisho mwa ligi walivyokuwa wanatapatapa kujinusuru kushuka daraja.

Masau Bwire aliifananisha yanga na gari bovu ila kwa laana za wananchi timu yake imejikuta inaangukia ligi daraja la kwanza.

Kifuatacho Hajji Manara na simba yake nae itakuwaje! tusubir msimu ujao...
 
Itashuka simba lakini sio yanga.
Rejea mwaka 1988 nani kati ya yanga na simba amewahi kukutwa na msala wa kutaka kushuka daraja.
 
Kuna mtu alituwekea picha ya hayo matokeo tunaomba arudie.
 
Liwe funzo kwa mropokaji mwingine wa mtibwa suger Thobias kifaru, aache kuongea sana, wakat ligi inaanza baada ya mtibwa kuifunga yanga kifaru na maxime walichonga sana wakisema yanga imeacha kuwasajil wacheza mpira wakasajil warusha mpira ila wanajua kilicho wakuta mwisho mwa ligi walivyokuwa wanatapatapa kujinusuru kushuka daraja.

Masau Bwire aliifananisha yanga na gari bovu ila kwa laana za wananchi timu yake imejikuta inaangukia ligi daraja la kwanza.

Kifuatacho Hajji Manara na simba yake nae itakuwaje! tusubir msimu ujao...

Hapo kwa Manara unaitwa ndoto za mchana! Mi najua mtastruggle mwanzoni mwa ligi ijayo kama Ngassa, Niyonzima ,Twitter na Msuva Wakiondoka
 
Yanga sio kama simba, mlimuacha Amiss Tambwe mkamleta Danny sserunkuma (Uncle mpoto).
Ujue wakitoka hao uliowataja watakuja wengine tena babu wa yanga anafahamu wachezaji wazur so tegemea yanga ya msimu ujao ndo itakuwa tishio zaidi, sio kama kocha wenu yule mkata viuno sijui anaitwa makoponovic!
 
IMG_15774870455864.jpegIMG_15774870455864.jpeg Hawa hapa mikia
 
Hapo kwa Manara unaitwa ndoto za mchana! Mi najua mtastruggle mwanzoni mwa ligi ijayo kama Ngassa, Niyonzima ,Twitter na Msuva Wakiondoka

Mkuu hao 2 nao wanaenda wapi?? nielemishe plz
 
Haijawahi kutokea Yeboyebo mbovu kama hii, hata Ndanda (Panya) anakufunga huyo Simba mwenyewe mwenyewe utamuweza!
Manji alipotimiza malengo yake ya kuwafuta machozi kwa kuchezea mshedede wa Mnyama kila akikutana naye kwa mwaka wa nne mfululizo sasa, akaacha kununua mechi.

Amewaacha wenyewe wapigane ndani ya dimba matokeo Azam kajigeuzia kachapa viwili, Ndanda naye baada ya kuwakosakosa Dsm juzi wamejigeuzia mrembo wao wakajichapia wanavyotaka. Hii inaonesha dhahiri siku Manji atakapoondoka pale kwenye mafuriko ya maji taka hakuna shaka lisipopigwa bao 5 - 0 tena na Mnyama mkali basi litashuka daraja.
Manji ameisaidia sana yeboyebo at least sasa wanafungwa na Mnyama bao 2-0, 1-0 badala ya vichapo vya fedheha kama kile cha siku tano za Kazi, Mwezi wa 5, Bao 5 na watu Watano kufa kwa presha ya kipigo.
 
Maskini Massao Bwire, basi imekula kwake, alikuwa nafasi ya 9 kabla ya mechi za leo.

Kwa hakika 'ajidhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka'.

Hataisahau Stand Utd, hataisahau Kambarage Stadium. Hatamsahau Huyu!
 
Back
Top Bottom