Ligi Kuu Bara: Yanga Afrika vs Mgambo JKT, Azam FC Vs Maji Maji Apr 27 2016

mgambo waache ujinga wanakaza ili iweje? Watu wameshashuka daraja bado wanakaza tu,!
 
Tunasubiri zile dakika za ubebwaji zifike, ndio mtawajua marefa wa malinzi!
 
Dakika ya 73: Yanga wanafanya mabadiliko, anatoka Niyonzima anaingia Thaban Kamusoko.

Kaseke anaipatia Yanga bao la pili baada ya kutokea piga nikupige katika lango la Mgambo, mpira ukamkuta Kaseke akiwa mwenyewe, akapiga shuti kali na kuwa bao la pili kwa Yanga na kwake pia katika mchezo wa leo.

Dakika ya 71: Kasekeeeeeee

Dakika ya 63: Kamusoko ambaye leo yuko benchi anapasha misuli.
 
Dakika ya 82: Yanga wanaongoza mabao 2-1, Tambwe ameshindwa kutumia nafasi ya wazi ya kufunga bao.

Dakika ya 79: Mgambo wanafanya mabadiliko, anatoka Nassor Gumbo anaingia Ally Nassor.
 
Yaaani ni kipondo tuu kwa kwenda mbele, RIP migambo, WHO IS NEXT?........
 
Hahaha majungu sio mtaji. We subiria hizo dakika huku wenzako tunausogelea ubingwa.
mkuu habari za siku??
uliadimika sana mtaani kwenu aisee baada ya mnyama cr7 kufanya yake chumbani kwenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…