barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Yanga LAZIMA wabebwe. Hakuna namna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha majungu sio mtaji. We subiria hizo dakika huku wenzako tunausogelea ubingwa.Tunasubiri zile dakika za ubebwaji zifike, ndio mtawajua marefa wa malinzi!
mkuu habari za siku??Hahaha majungu sio mtaji. We subiria hizo dakika huku wenzako tunausogelea ubingwa.
Wanasubiri kichapo jumamosi ili wamlaumu refa.jukwaa limekimbiwa na wale Majungu FC aka waimba Taarabu wa mtaa wa msimbazi
Yanga ya hangwani dsm au ya msimbazi mkuu?Naona Yanga wanamaliza kiporo chao kwa kufungwa, Tusubiri tuone...
Tunaenda Angola kupata ushindi, mwakani CAF Tanzania tutakuwa na timu tatu mkuu. Washindi wa tatu Simba mtashirikiMalinzi leo hajawapa maelekezo waamuzi?
Unadhani hawajui?wanajitoa ufahamu tu.Yanga timu kubwa
Naona Leo Sio lawama zao humu wale mkia fcUnadhani hawajui?wanajitoa ufahamu tu.