Lazima ubaniwe tu hakuna namna. Hata uje kwa I'D mpyaYanga akishinda mnipige Ban ya maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima ubaniwe tu hakuna namna. Hata uje kwa I'D mpyaYanga akishinda mnipige Ban ya maisha.
Ule mpira uliosababisha goli ulikuwa wa mkono kabisaImekuwaje kwani refa amefanya nini?
ExactlyWa kimataifa 1-0 matopeni
Kumbe ndicho mlichokuwa mnakitaka?Bora mechi ivurugwe tu isiendelee,huu upumbavu kaleta refa
Mabomu Yale utakaa kufanya nini???MASHABIKI WAMEONDOKA UWANJANI AISEEE
Mkude katuangusha sana sisi Simba😛
Wahuni wa k/koo walitaka mechi ivunjike [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aveva na genge lake lazima walipe hizo gharama
Tena maisha......aiseeMODS kuna raia katia nia yanga ikishinda mumfungie bhna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado tulia andaa kapu magoli yaja.Simba wameniangusha wameshindwa kuvunja mechi
Uanamichezo kucheza mpira wa miguu kwa mkonoSimba tulieni,mambo gani mnaleta?
Huu sio uanamichezo kabisa
Ule mpira uliosababisha goli ulikuwa wa mkono kabisa