Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Simba tunaonewa sana na marefa, tumekataliwa goli halali na yanga wamepewa goli la mkono.
 
Tumefunga goal, eti off side
Ufala sana huu...
Hakuwezi kushinda bila sisi kupewa kadi nyekundu?

[emoji41] fcuk u yanga fans
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha hasira. Kumbuka msimu uliopita Kila mechi yanga alipata kadi nyekundu. Na tukawafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…