Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Hihiiiiiii kuna watu watakula ban leo.
Matusi ya nini?Nimeogopa kukuquote nisijekula ban nikashindwa kushangilia mieee [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hata mm sitaki kumkwaza mod leo [emoji3]
 
Ulishawahi ona wapi deby team inabebwa kiasi cha refa kuona mchezaji anabeba mpira kwa mkono na goal linabarikiwa na refa
Tunazungumzia red card. Niambie ni Derby gani Captain wa team anamsukuma refa na hakupewa kadi nyekundu?

Jonas Mkude kama captain alitakiwa awe chanzo cha nidhamu. Ile red alistahili kabisa
 
Back
Top Bottom