Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

ilikuwaje maradona kufunga goli la mkono miaka iliyopita? France(Thiery Henry) vs Scotland
 
Vyura FC wakipata Mbeleko Wa Kuwabeba Wana Fujo Kweli!! Kwanini Musianzishe Timu ya Volleyball?? Manake Muko Bora Kwa Kufungia Mikono.
 
Mpira wa bongo unaharibiwa na waamuzi.....tujifunze deby za nje mara chache sana utakuta kadi inatoka kwenye deby ya barca na madrid
 
Back
Top Bottom