Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Itakuwa kesha kula nusu banBado haujatengua kauli hii?
Umeona anavyomkaba Mavugo.HUYU ANDREW VICENT ANAJUA HATARI
HAINA HAJA HAWA HAWATrue dat
CLUB INALIPA MKUU
Wa magazeti mrundi wamemtoa mikiaUmeona anavyomkaba Mavugo.
MVUGO HAMNA KITU MULE WALLAHUmeona anavyomkaba Mavugo.
Hailipi
Nimeanza kukoleza moto jaman tuanze kuchemsha supu ya simba. Asie kula nyama ya simba aniambie jmn
Aliwahi sema kuwa hajaona beki wa kumkaba hapa TZ!Kauli ambayo haiwezi tolewa na any pro footballer!Mavugo out