KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Yanga wanafurahi wenyewe....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Almanusra Twite atugharimu.
Daaaah roho yangu mie!
Nahisi atakuwa mrithi wa YondaniSANA NAMKUBALI KINOMA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I love JF!Nimeanza kukoleza moto jaman tuanze kuchemsha supu ya simba. Asie kula nyama ya simba aniambie jmn
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Yanga wanafurahi wenyewe....
Hapana hebu rudia kusoma nilichouliza na kile ulichojibu..Kwani kosa mpaka ulielewe wewe ndipo watoe kadi?
angalia ubao ngapi ngapiPamoja na kuwa wengi uwanjani Yanga wanachezewa nusu uwanja .
Hana papara kabisa.ametulia sana dogo
Pamoja na kuwa wengi uwanjani Yanga wanachezewa nusu uwanja .
Kumbe best wangu nifah tuko team moja? Leo nna raha mieeeeeeeeeeeeeeAlmanusra Twite atugharimu.
Daaaah roho yangu mie!