Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Pamoja na kuwa wengi uwanjani Yanga wanachezewa nusu uwanja .
 
kochaaaaaaaaaaaaaaaa tia msuvaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa weka msuvaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kona kwa simba , kuna kila dalili ya kusawazisha .
 
Hivi yule striker wa simba aliyesema asipofunga goli kwenye Kila mechi akatwe mshahara yuko wapi?
 
Back
Top Bottom