Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
83' Mins | Simba 0 - 1 Yanga
Amisi Tambwe 26' Mins (Yanga)
Amisi Tambwe 26' Mins (Yanga)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka afanye nini?Mpaka sasa namlaumu sana Hans Pluijm. Simba watajisifu sana kama wakitoa draw
Hunizidi mimiiiiiiiiiiiiiiiKumbe best wangu nifah tuko team moja? Leo nna raha mieeeeeeeeeeeeee
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Msuvaaaaaaaa tupe rakha bwanaaaa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Achange game plan. Haiwezekani simba wawe pungufu halafu bado wanaonekana kama wapo Kumi na Saba uwanjaniUlitaka afanye nini?
Tulia wewe...leo ni tu ushindi Jangwani.Kona kwa simba , kuna kila dalili ya kusawazisha .
Kwa hilo goli la mkono na mguu ?WEWE LEO UTATOKWA NA POVU HADI LA SABUNI YA MAGADI
umeisha?Le Super Family [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Bado atoto sijui yuko wapi tushangilie.
Nimeanza kukoleza moto jaman tuanze kuchemsha supu ya simba. Asie kula nyama ya simba aniambie jmn
Hapa ushindi tu.Achange game plan. Haiwezekani simba wawe pungufu halafu bado wanaonekana kama wapo Kumi na Saba uwanjani