Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Mabeki wa simba wamwangalie sana Msuva , ana chenga za kishamba shamba sana .
 
Dah ndala bhana kweli wanasikitisha
 
Usisahau pili pili na malimao


Makongoro tutampa Mussolin5
Akachemshe akiwa alone maana anakila ban la maisha
Nimeanza kukoleza moto jaman tuanze kuchemsha supu ya simba. Asie kula nyama ya simba aniambie jmn
 
hatari tupu naskia kuna maajabu huko goal la mkono limekubaliwa na goal la mguu limekataliwa
 
Back
Top Bottom