[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tungemfanyia x bila chenga uwanjaniUnadhani nn kingetokea kama refa 'ANGEKATAA' na lile goli la kona[kichuya]!!!?
Kwani Yanga nmeshinda?Bado upo tuuu, admin nadhani umemsahau huyu jamaa
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha , kwa hasira ningevaa jezi ya yeboyebo mwezi mzimaUnadhani nn kingetokea kama refa 'ANGEKATAA' na lile goli la kona[kichuya]!!!?
Uwanja ungepasukaUnadhani nn kingetokea kama refa 'ANGEKATAA' na lile goli la kona[kichuya]!!!?
Leo mshukuruni MO kwa kuwahi kupiga simu kwa Manji asimuharibie dili la kununua Simba iwe Mali yakeYeboyebo mna bahati tulikuwa 10 uwanjani, vinginevyo mngekula za kutosha ila mmalizieni refa hela yake
HIVI na Wewe umechangia,?Leo mshukuruni MO kwa kuwahi kupiga simu kwa Manji asimuharibie dili la kununua Simba iwe Mali yake
Wewe itakua mshabiki wa SimbaNA WEWE UMEPOSTI
Nimependa hizo lips shabiki mwenzanguBora tumetoka goma droo maana wengine huku mtaani kwetu tungekoma.
Leo refa kawabeba lakini bado mkawa mnamng'ata mwisho kawashusha, anyway ila mmalizieni refa hela yakeLeo mshukuruni MO kwa kuwahi kupiga simu kwa Manji asimuharibie dili la kununua Simba iwe Mali yake
Nilisema Yang akishindaBado upo tuuu, admin nadhani umemsahau huyu jamaa
Shukran hapana mambo yaliingiliana kibarua kilikaba hapa nimepitia ndo nikaona nikupe pongezi game ilikuwa ngumu ila muwe na subira na uvumilivu pia haya mambo ya vurugu hayana nafasi karne hiiKwema mtani. Sijakuona katika updates Leo au ulikuwa uwanjani??
Hongereni kwa kupata pointi 1......! Mlikuwa mnapigwa Leo.!
Bado nipokwaheri mkuu
NipooooUmesha fungiwa au
Yanga hii ya refa au nyingine?uko tayari mkuu yanga sio ya mzaha
Bado.Bado unasimamia kauli yako?
hahahahUnafaa kuwa amirijeshi mkuu.