Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Unadhani nn kingetokea kama refa 'ANGEKATAA' na lile goli la kona[kichuya]!!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tungemfanyia x bila chenga uwanjani
 
Unadhani nn kingetokea kama refa 'ANGEKATAA' na lile goli la kona[kichuya]!!!?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha , kwa hasira ningevaa jezi ya yeboyebo mwezi mzima
 
wakati mwingine watu hawapendi kuua lakini inatokea. Marefa wa TANZANIA NI JANGA
 
Kwema mtani. Sijakuona katika updates Leo au ulikuwa uwanjani??
Hongereni kwa kupata pointi 1......! Mlikuwa mnapigwa Leo.!
Shukran hapana mambo yaliingiliana kibarua kilikaba hapa nimepitia ndo nikaona nikupe pongezi game ilikuwa ngumu ila muwe na subira na uvumilivu pia haya mambo ya vurugu hayana nafasi karne hii
 
Hakika nawaomba sana Wachambuzi wa Tanzania hebu tuuchambue mchezo wa ligi Kuu Vodacom kati ya Simba Na Yanga uliofanyika katika Uwanja wa Taiga Leo tarehe 01/10/2016.Tujikite kati viwango vya wachezaji, Makocha, Marefa ili tuondoa mawazo chanya miongoni mwa mashabiki.
 
Pongezi kwa timu ya Simba Fc kwa kusawazisha goli japo walikuwa pungufu. Ila mashabiki wabadilike kuvunja viti sio ushabiki
 
Back
Top Bottom