Kuwa na amani, leo tumeshinda.. hili goli moja ni sawa na magoli mawiliBado.
hahaha...swahiba mpunguze kubebwa.Daaaah nitakumiss sana.
Fanya kunipm namba yako harakaharaka kabla hujawa historia.
Dah mabomu ya machozi balaa, Pale pale nilipokaa Ndio limetua mguuni kwangu, balaa tu
yawezekana ila simba wanastahika heshima maana wanaonekana wanania na ushindi wa dhahiri lakini yanga hawaongezeki kiwango na kujiamini wamepoteza point 3 muhimu kwa kushindwa kutuliaYanga hii ya refa au nyingine?
Hakika mkuu...Kuwa na amani, leo tumeshinda.. hili goli moja ni sawa na magoli mawili
Mzee lilipotua miguuni nikahisi pumzi inakata, mbele yangu kuna dada anachupa ya maji nikampokonya nikanawa, mwingine kalala Chini ya viti, ilibidi nipande juu kabisa, pumzi ilikata kabisa, nikahisi network searchOngeza nyama mkuu.
Hahahaah kweli mkuu ni washabiki wachache wasiojitambua ndio wanaosababisha haya mambo ya vurugu.!Shukran hapana mambo yaliingiliana kibarua kilikaba hapa nimepitia ndo nikaona nikupe pongezi game ilikuwa ngumu ila muwe na subira na uvumilivu pia haya mambo ya vurugu hayana nafasi karne hii
Pole mkuu. Pale askari nao walifanya kosa kuanza kurusha mabomu wakati wangeweza kutuliza zile vurugu bila kufanya vile. Kule jukwaani kulikuwa Na watoto Na walemavu ambao hata hawakufanya fujo ila huenda waliathirika Na hayo mabomu. Kungeweza kutokea vifo kwa watu kukanyaganaDah mabomu ya machozi balaa, Pale pale nilipokaa Ndio limetua mguuni kwangu, balaa tu
Mda wote ulijificha ukasubiri matokeo kwanza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji102] [emoji102] [emoji102]