Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Motochini umesahau Yanga vs Coastal Upumbavu pia Yanga walivunja viti hivyo hivyo
 
Nasikia comments za watangazaji wa ITV baada ya habari za michezo hapa, na wanasema kuwa bao la Simba la dakika ya 86 walau limepunguza jazba ya mashabiki wa Simba ambao walikasirika kutokana na maamuzi mabaya dhidi yao. Mwamuzi Martin Sanya alitoa maamuzi makubwa matatu yenye kuiminya Simba; kukataa goli halali la Ibrahim Hajibu wa Simba, kukubali goli lisilo halali la Amis Tambwe wa Yanga na kutoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Simba, Jonas Mkude.
My take:
Waamuzi tendeni haki ili msije mkawa mnaishi kwa wasiwasi kama ambavyo dondoo za watangazaji wa ITV walivyoongea
 
Kwa kwel maana mpira ameshka live na ameonekana
 
Ndo maana mpira Wetu haukui mnaibeba tim sio kwamba mnaisaidia Bali mnaua mpira wakienda mechi za kimataifa wanafungwa kwa sababu hakuna mbeleko!! Yaan ni aibu kwa maamuz kama yale
 
Kitendo cha shabiki kuvunja viti sio kizuri nafikiri tff sasa wabadili mfumo mechi ya simba na yanga ichezewe mchangani ambako hakuna viti vya kuvunja

Sasa narudi kwenye mada,refa na wasaidizi wake wameharibu Mpira hasa kipindi cha kwanza,ilikuwa vigumu kuona Mpira ulivyo shikwa ila kwa like goli LA simba kulikataa eti mchezaji kazidi hakuwa amezidi alitoka baada ya Mpira kupigwa ni maoni yangu tu
 
Inasemekana kocha aliwaambia wachezaji wa simba ili washinde ile mechi inabidi wafunge magoal ambayo hata refa atajisikia aibu kukataa. na ndo siri ya kichuya kufunga lile bao.

inasemekana kama wachezaji wa yanga wangeonekana kwenda kumbishia tu refarii basi nalo angekataa ili kona ipigwe tena. lakini hata wachezaji wenyewe wa yanga walishachoka wakaamua kukubali tu yaishe. maana kulikuwa hamna namna ya kulikataa lile goal. mpira wa simba na yanga mara nying inakuwa umeshachezwa na mshindi anajulikana lakini simba wamejitahidi kukataa yale matokeo yaliyokuwa yametakwa na yanga.

kwa style hii tuna wakati mgumu sana kwa mechi za kimataifa. kama tutaendelea kuacha marefarii waharibu mpira hivi.
 
ukimaanisha kulikuwa na upangwaji matokeo kabla ya mechi kuanza?
 
1475346955605.jpg

Hili hapa goli la Tambwe.
 
ukimaanisha kulikuwa na upangwaji matokeo kabla ya mechi kuanza?
referee ndugu yangu kama kawaida baada ta kuwa hakukuwa na mchazaj wa kununuliwa simba this time.
 
Back
Top Bottom