FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 327
Mna haki ya kushangilia maana hayo ni matokeo makubwa sana kwenu dhidi ya yangaSimba ananguruma ....ni kama simba wameshinda vile...niko hapa na wazee tunasakata rumba kwa raha zetu
Wekeni video za magoli
First half:yanga posses 55% dhidi ya 45% na goli moja,,second half:yanga posses 49% dhidi ya 51% na goli moja,,,,sasa hapo toa jibu nani katawala mchezo zaidiKwani kuna mtu kafungwa?
Au yanga mliwazidi simba uwezo
next time mkibebwa mkunje miguu kwenye mberekoTufanye Mikia FC wameshinda mechi.
hamuna uwezo wa kumfunga yanga nyinyi,makelele tunext time mkibebwa mkunje miguu kwenye mbereko
hamuna uwezo wa kumfunga yanga nyinyi,makelele tu
Halafu siyo kwamba mpira uligonga mkono wa Tambwe (ball to hand), jamaa ali-control mpira kwa kutumia mkono.Kugongwa kwa mkono na mpira ingeweza kuwa favor kama aliyegonga alikuwa anazuia, ila akiwa anashambulia hakuna favor ni faulo tu, tena na kadi juu
usiishie hapo tu wewe salome, kipindi cha pili chote na cha kwanza kuanzia dakika 20's SIMBA a.k.a MNYAMA MKALI alikuwa PUNGUFU uwanjani huku kandambili wakiwa 13 uwanjani!First half:yanga posses 55% dhidi ya 45% na goli moja,,second half:yanga posses 49% dhidi ya 51% na goli moja,,,,sasa hapo toa jibu nani katawala mchezo zaidi
Huyu refa anaishi wapi??? naomba anayejua anielekeze niKAMPANDISHE CHEO!Kitendo kinachofanywa na Yanga kushirikiana na waamuzi Uchwara madhara yake hayataonekana leo wala kesho. Kumbukeni kuna mashabiki wa Simba wako Arusha, Mbeya, Mwanza nk hasira zao zimebaki mioyoni mwao. Heri wale wa Dsm wamemaliza hisia zao kwenye viti. Ila sie wa mbali amini nawambia hasira zao zitaishia siku moja kuvunja vioo vya basi lenu na huenda hata kuwapasua ngeu. Niseme mim binafsi nimekerwa sana na Reffa wa leo, sitak kusema ningefanya nin Taifa ila ningeshiriki kupaza sauti za kukemea maamuzi mabovu. Itz very shame. Tusifurahie upumbavu unaolitia Taifa hasara. Na hii inchi ikiendelea Kumchekea huyu Tajiri uchwara anayehonga waaamuz uchwara, mara kulipia viingilio vya mechi za Kimataifa kwa mashabiki Uchwara hakika Uwanja wa Taifa utabaki magofu.
Mkuu pamoja na kubwabwaja kwenu koooote mwisho wa siku ubao unasoma hivi,,,,YANGA 1_SALOME 1 matokeo ambayo ni ushindi kwa Salome kwakua hakutegemeausiishie hapo tu wewe salome, kipindi cha pili chote na cha kwanza kuanzia dakika 20's SIMBA a.k.a MNYAMA MKALI alikuwa PUNGUFU uwanjani huku kandambili wakiwa 13 uwanjani!
ball possesion overall ilikuaje?..simba walikua wanacheza kama wanaepuka jehannam,wenzao walikua wame-relaxYanga hamna kitu..Haiwezekani Simba ingeze zaidi ya dkk 70 wakiwa pungufu halafu washindwe kushinda na bado wazidiwe.
Yanga alikua hajarelax,walikua wanapoteza mda na goli lao la mkono huku wenzao wakiwa pungufu. Yanga wabovuuuuuball possesion overall ilikuaje?..simba walikua wanacheza kama wanaepuka jehannam,wenzao walikua wame-relax
Mkuu pamoja na kubwabwaja kwenu koooote mwisho wa siku ubao unasoma hivi,,,,YANGA 1_SALOME 1 matokeo ambayo ni ushindi kwa Salome kwakua hakutegemea
utaongea mengi,mwisho wa siku yanga atabeba ndoo na kichuya ataenda yangaYanga alikua hajarelax,walikua wanapoteza mda na goli lao la mkono huku wenzao wakiwa pungufu. Yanga wabovuuuuu
Kwa mpira huo ndoo mtabena ila ndoo ya maji..Ile ya lita 20utaongea mengi,mwisho wa siku yanga atabeba ndoo na kichuya ataenda yanga
arsenal wamepga la mkono zaid ya tambwe,burnley hawajavunja viti wala kumpga ngwala refaKwa mpira huo ndoo mtabena ila ndoo ya maji..Ile ya lita 20