Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Kwani kuna mtu kafungwa?
Au yanga mliwazidi simba uwezo
First half:yanga posses 55% dhidi ya 45% na goli moja,,second half:yanga posses 49% dhidi ya 51% na goli moja,,,,sasa hapo toa jibu nani katawala mchezo zaidi
 
Yanga hamna kitu..Haiwezekani Simba ingeze zaidi ya dkk 70 wakiwa pungufu halafu washindwe kushinda na bado wazidiwe.
 
ideally Yanga Tumefungwa 2-1.
=====
Jamani Ni tv gani itaonyesha mechi ya Serengeti Boys na Congo huko Brazzaville mida ya 15:30 GMT?
 
Kugongwa kwa mkono na mpira ingeweza kuwa favor kama aliyegonga alikuwa anazuia, ila akiwa anashambulia hakuna favor ni faulo tu, tena na kadi juu
Halafu siyo kwamba mpira uligonga mkono wa Tambwe (ball to hand), jamaa ali-control mpira kwa kutumia mkono.
 
First half:yanga posses 55% dhidi ya 45% na goli moja,,second half:yanga posses 49% dhidi ya 51% na goli moja,,,,sasa hapo toa jibu nani katawala mchezo zaidi
usiishie hapo tu wewe salome, kipindi cha pili chote na cha kwanza kuanzia dakika 20's SIMBA a.k.a MNYAMA MKALI alikuwa PUNGUFU uwanjani huku kandambili wakiwa 13 uwanjani!
 
Kitendo kinachofanywa na Yanga kushirikiana na waamuzi Uchwara madhara yake hayataonekana leo wala kesho. Kumbukeni kuna mashabiki wa Simba wako Arusha, Mbeya, Mwanza nk hasira zao zimebaki mioyoni mwao. Heri wale wa Dsm wamemaliza hisia zao kwenye viti. Ila sie wa mbali amini nawambia hasira zao zitaishia siku moja kuvunja vioo vya basi lenu na huenda hata kuwapasua ngeu. Niseme mim binafsi nimekerwa sana na Reffa wa leo, sitak kusema ningefanya nin Taifa ila ningeshiriki kupaza sauti za kukemea maamuzi mabovu. Itz very shame. Tusifurahie upumbavu unaolitia Taifa hasara. Na hii inchi ikiendelea Kumchekea huyu Tajiri uchwara anayehonga waaamuz uchwara, mara kulipia viingilio vya mechi za Kimataifa kwa mashabiki Uchwara hakika Uwanja wa Taifa utabaki magofu.
Huyu refa anaishi wapi??? naomba anayejua anielekeze niKAMPANDISHE CHEO!
 
usiishie hapo tu wewe salome, kipindi cha pili chote na cha kwanza kuanzia dakika 20's SIMBA a.k.a MNYAMA MKALI alikuwa PUNGUFU uwanjani huku kandambili wakiwa 13 uwanjani!
Mkuu pamoja na kubwabwaja kwenu koooote mwisho wa siku ubao unasoma hivi,,,,YANGA 1_SALOME 1 matokeo ambayo ni ushindi kwa Salome kwakua hakutegemea
 
Yanga hamna kitu..Haiwezekani Simba ingeze zaidi ya dkk 70 wakiwa pungufu halafu washindwe kushinda na bado wazidiwe.
ball possesion overall ilikuaje?..simba walikua wanacheza kama wanaepuka jehannam,wenzao walikua wame-relax
 
ball possesion overall ilikuaje?..simba walikua wanacheza kama wanaepuka jehannam,wenzao walikua wame-relax
Yanga alikua hajarelax,walikua wanapoteza mda na goli lao la mkono huku wenzao wakiwa pungufu. Yanga wabovuuuuu
 
Wadau wa kandanda naona ni wakati muafaka wa kujadili Goli Zuri la Mechi ya Watani wa jadi kati ya Simba Na Yanga iliyofanyika Jana Uwanja wa Taifa.
 
Back
Top Bottom