Unatuliza gozi la ng'ombe kifuani kisha uazunguka nalo nyuzi 180 na kuwalamba chenga mabeki 3, then unachambua kama jaranga kipa kwa kumpeleka marikiti na kutumbukiza kitu nyavuni na kuwaacha 'mambulumundu' wakilia lia ohoooo offside, ohooo ameunawa!