Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Kweli ulaya ulaya tuu. Arsenal kashinda late goal na Mfungaji Laurent kafunga kwa mkono na washabiki wa Burnley hawajafanya vurugu wala kung'oa viti.
 
Mm Yanga lkn Kishuya lile goli sio la dunia hii"
La Tambwe la "mkono" hata m naweza piga bao
 
Ndo mikia ijifunze ustaarabu toka duniani ikisikia watani wa jadi basi kwao wanaona ndio muda wa kuifanyia tathmini timu yao huku wakitanguliza uhasama badala ya fair play, bure kabisa.
 
Unatuliza gozi la ng'ombe kifuani kisha uazunguka nalo nyuzi 180 na kuwalamba chenga mabeki 3, then unachambua kama jaranga kipa kwa kumpeleka marikiti na kutumbukiza kitu nyavuni na kuwaacha 'mambulumundu' wakilia lia ohoooo offside, ohooo ameunawa!
 
Goli Zuri zaidi ni la Kichuya, sababu kabla yakufunga alishika mpira kwa mikono yote miwili kisha akapiga nakufunga! Tofauti na lile alofunga tambwe ambae alishika mpira kwa mkono mmoja tu halafu akapiga nakufunga!
 
Back
Top Bottom